Home General Tanzania Pastor Condemns Diamond Platnumz For Misusing “Hallelujah” Word In His New...

Tanzania Pastor Condemns Diamond Platnumz For Misusing “Hallelujah” Word In His New Song

Bishop Dickson D. Kaganga: Mimi sijausikia… na ukweli kama ndivyo inaudhi… lakini tafuteni USHAURI wa KISHERIA kwanza kwa WANASHERIA wa KIKRISTO… ili kujua KISHERIA matumizi ya neno HALELUYA ni kwa WAKRISTO au waimbaji wa GOSPEL tu? Na jee! Ni Diamond tu ametumia neno HALELUYA kwenye SANAA ya UIMBAJI? Ni ushauri wangu tu.

Joackim John Sylivand: MUNGU siku zote hazihakiwi Tafadhali Tafadhali tunaomba mnaoweza kutusaidia mtusaidie kweli inaudhi

G Jonathan Kamenge: This is grammatical definition and translation. Context and social definition and even cultural is not considered. Hakuna legal offense kwenye kusema “chura anarukaruka” na nyinginezo zilizohojiwa. This question is are you offended or not!? If you are, what are you gonna do about it!!!?

Christine Emmanuel: This is the definition of HALLELUJAH…. so Ni haki wimbo wa huyu jamaa ufungiwe kabisa.Huko ni kuudhalilisha ukristo, kwa nini hakutumia maneno ya dini yake???? Tusitetee ujinga jamani. Ifike mahali tusimame na kuipigania/kuilinda imani yetu.

Anyesi Lucas Kajituel: binafsi niliuona mtandaoni na nikadharau tu na sikuusikiliza. My thinking was labda mtu anayefahamu Haleluya ni kitu gani amemshirikisha maana sasa hivi kuna waimbaji wa nyimbo za injili wanashirikiana na waimbaji wa miziki ya kidunia. Nikajua ndio hilo wimbi jipya lililozuka.

Billy Graham: A Brown Lust is devils topic, and he will cause all to obey that.. huyu diamond kama ataambiwa, watakatifu wamfungie na kwenye ulimwengu wa roho, si funguo zipo za kumfungia. Tujue kuwa roho ya baba yake shetani inafanya kazi ndani yake, na inampeleka ku abuse vitu vya kiungu kama Ahabu tu na Goliath. Sheria ikifanikiwa na rohoni watu wa design hii washughulikiwe pia…

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here